Skip to content

Sauti Sol – Rhumba Japani Lyrics

Rhumba Japani By Sauti Sol

Ooh, ooooh
Ooh, ooooh
Ooh, ooooh
Ooh, ooooh

Kuna rhumba ya Juja, na ni ya ma-boy
Ukisaka mitumba, nenda rhumba ya Toi
Kuna rhumba ya Kibich, utajua hujui
Kuna rhumba for all you niggas, ila rhumba Japani
Ndio rhumba

Kuna rhumba ya State House, iko chini ya maji (Yeah, okay)
Kuna rhumba ya bunge, yeah, ya majambazi (Yo, yo)
Ukileta ujinga, utalala ndani (Wueh!)
Kuna rhumba for all you niggas, lakini rhumba Japani
Ndio rhumba

Hapa ni wapi? (Ni wapi?)
Tumezungukwa na shisha na shashamani (Oh, no, no)
Mapochopocho na vinywaji mbalimbali
Wengine wanatapika wakizirai (Wakizirai, yeah)
Hapa ni wapi? (Sol Generation)
Wanatutwanga mapicha, ni paparazzi (Oh, no, no)
Tumezungukwa na warembo geti kali
Tunazitoka na style za kizamani

Ah! Ah
Zoom!
Skrr! skrr!

Kuna rhumba ya Westie, ya mabeshte
Kwa mashinani, sheki your waisti
Rhumba ni nyepesi, isikuwe kesi
Kuna rhumba for all my niggas, ila rhumba Japani
Ndio rhumba

Kuna rhumba Karura, ya kupanda miti
Ukiwa Koinange, hakunanga risiti, eh, ai
Rhumba Oyole, hiyo ni ya mangwati
To all of my hoes and all of my niggas, rhumba Japani
Ndio rhumba, ohh

Hapa ni wapi?
Tumezungukwa na ma-bouncer na machuani
Kuna mapedi, mapoko, pia mapinji (Eh, eh, yeah, eh)
Na wanaseti michele kwenye vinywaji (Kwenye vinywaji)
Hapa ni wapi?
Kuna visanga, vioja mahakamani (Vioja mahakamani)
Wapenzi wapigana mate hadharani (Oh, ohh, oh, oh)
Wengine wanatekana nyuma ya taxi (Nyuma ya taxi)

Zoom!
Skrr! skrr!

Nitie rhumba obunga, mano mar jothurwa (Ah, zoom!)
To kidwa bilo mbuta, rieri yo manyatta (Okay! Yeba!)
Yawuoi orwaka akala, to nyiwa ondiso avunja (Skrr! skrr! Avunja!)
Kuna rhumba for all you niggas, lakini rhumba Japani
Ndio rhumba, ahh

Ahh
Sol Generation, you know
Hii shit imeniweka zone, inatamba
Ahh

Hapa ni wapi?
Waheshimiwa wako nje kwa foleni
Na raia wako ndani, wajivinjari
Wanazitoka na style, ni za kiodi
Hapa ni wapi?
Ma-watchie wote wameleta utiaji
Wakafungia wakubwa nje ya party
Wakawachia ofisi wafanyikazi