Skip to content

Khaligraph Jones – Ni Kubaya Lyrics

 

Ni Kubaya By Khaligraph Jones

Mmmh ni kubaya
Yeah bazenga

Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya, jua ni kubaya
Jua ni kubaya, Jua ni kubaya
Jua ni kubaya

Msupa atoti ndae ni German
Ni ya ulaya
Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya, jua ni kubaya
Jua ni kubaya, Jua ni kubaya
Jua ni kubaya

Tangu tene, breeder
Mi ni short wire
Leta zogo ndio utafinywa na pliers
Sembe na kunde na mala kwa diet
Zitafanya nifuate dini kwa science

Nikikafunga nacopy Jalang’o
Napull up na pull up na Beamer
Kwanza kidrop top

Mkwela alijifanya highclass
After mechi si alidishi mapopcon
Vile wana pupa ka refa wa reso
Vile nawashtua kama box ex
Nigga maziwa nazioshaga tu na topex
Itabidi wamejua si ndo chosen

Delivery noma mistari inafikisha door step
Breeder Omollo kuwa sure hii ni problem
Na siwezi ngoja ku-invest ma-mita
Tafkla naigeuza kanisa
Ka si GK nibring kwa speaker
Mi napata baraka ki-smart
We bado una mbogi
Me nazoza one man me head bad

Niko By Pass 105 nakanyaga
Hadi stuff unanyamba
Me naachia depa na princi lawama
Ju kuna maganji nafuata Lang’ata

Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya, jua ni kubaya
Jua ni kubaya, Jua ni kubaya
Jua ni kubaya

Nasema woi woi woi
Jua ni kubaya, jua ni kubaya
Jua ni kubaya, Jua ni kubaya
Jua ni kubaya