Skip to content

BAHATI – Wanani [TOTO SI TOTO] Lyrics

Wanani [TOTO SI TOTO] By BAHATI

Mmmhh…
Umeshuka tokea mbinguni
We ni malaika, hauna kosea
Sifa zote tumpe Manani
Aliye kuumba, hajakoseaaa

Toto si toto (Ulalaa)
Nimeshinda lotto (Ulalaa)
Figa moto (Ulalaa)
Beiby beiby

Toto, toto si toto (Ulalaa)
Nimeshinda lotto (Ulalaa)
Kukupata mtoto (Ulalaa)

Basi wewe wa nani?
Niambie wa nani wa nanii?
Wanani? Kama sio wanguu tu

Basi wewe wa nani?
Niambie wa nani wa nanii?
Wanani? Kama sio wangu tu

Aah I hadn’t liked you
But I love you
Yes its true, yes it’s true

And if they ask me
To choose between me and you
Baby I’ll choose you
Coz I’m youoou…

Twende nyumbani tukamwone auntie
Na wenye wivu tuwaite harusini
Kama uhai angepewa mamii
Angefurahi kukuona hunnie

Nauliza wa nani?
Niambie wa nani wa nanii?
Wanani? Kama sio wangu tu

Basi wewe wa nani?
Niambie wa nani wa nanii?
Wanani? Kama sio wanguu tu

Toto si toto (Ulalaa)
Nimeshinda lotto (Ulalaa)
Figa moto (Ulalaa)
Beiby beiby

Toto, toto si toto (Ulalaa)
Nimeshinda lotto (Ulalaa)
Kukupata mtoto (Ulalaa)

Aah!
Pa parararira
Nikudekeze
Kanisa nikupeleke

Church man
Mtoto wa mama gentleman
Hmmm I’m in love
With you my love

I am Messesi on the beat