Skip to content

Pitson – Neno Moja Lyrics

Neno Moja By Pitson

Hali mbaya tunayopitia
Imani yetu inafifia
Najua Baba unasikia
Maombi yetu, maombi yetu

Safari yetu yatulemea
Twashindwa hata kuendelea
Ni wewe Baba twategemea
Twakuangalia utuponye

Tenda neno moja tupone
Neno moja tupone eeh
Tenda neno moja tupone
Neno moja tupone eeh

Neno lko ndilo twategemea
Neno lako ndo twategeea
Neno lako ndilo twategfemea
o lake litumulikie
Njia yote ewe Mungu

Ukinena yote tutapokea
Ah tutapata vyote tulivyoppteza
Eeh hakuna jambo linakulemea
Twakuangalia utuponye

Tenda neno moja tupone

Tenda neno moja tupone
Neno moja tupone eeh
Tenda neno moja tupone
Neno moja tupone eeh