Skip to content

Paul Maker x Harmonize – Serikali Kuu Lyrics

Serikali Kuu By Paul Maker x Harmonize

Ahahahahaa, jeshi
(Paul Maker on the Beat)

Just to show them we can do boy
Ukinipa beat nachana utasema boss
Riki mi sitabiriki
Fundi wa muziki wananiita kisiki

Eey dem wako akisema simpendi
Konde Boy huyu
Ujue ka ni game nakaliwa buyu
Endelea kungoja mchicha uje kuwa mbuyu
Usijifanye huniskii nigga
I’m talking to you

Hatuna TV na hatuna redio
Yes of course we run the city yoh
Hit after hit tega sikio
Kichwani haziishi material

I’m a genius musician, leo nakalisha marapper
Wenye chuki na mimi watasema najitapa
So many sacrifice jo hadi kufika hapa
Nikifa mnizike kwa heshima
Kama Benjamin Mkapa, Nyerere

Easy flow dada zao wanachuma tembele
Singezaliwa Mtwaara na singezaliwa Mbele
Kama ningecheza mpira ni level za kina Pele
Kwenye mziki nimeletwa niwazime makelele

Mi huwa nafanya visivyofanyika
Huwaga nachana visivyochanika
Bora muombe kuungana mtanusurika
Mkifosi kushindana

Hii ndo serikali kuu ya mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko vindooo, vindooo
Vindooo, vindooo
Serikali kuu ya mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko vindooo, vindooo
Vindooo, vindooo

YouTube video