Skip to content

Nviiri the Storyteller – Lesotho Lyrics

Nviiri the Storyteller Ft Ray Gee -Lesotho Lyrics

Tukumbuke vile, vile
Hizi siku zikipita
Tukumbuke vile
Twende Lesotho

Nakuahidi nikishika money
Hautawahi kosa maziwa asali
Na kila siku tutaweka party

Najua vile unapenda sherehe
Vile nina penda sherehe (No No No No)
Mtoto kiboko
Sema kile unaona kwa ndoto

Nami nitatimiza
Nitatimiza yote
Dunia ni ndogo
Sema kama tusafiri Lesotho
Ama Argentina America

Tukumbuke vile , tulivyo kazana
Tukumbuke vile, Tulivyo ngangana
Tukumbuke vile,Tulivyo pambana
Tukumbuke vile
Kuna messiah

Ukiweza piga picha
Ukipenda mziki katika
Hizi ni siku Zitapita
Na hizi picha
Zitatukumbusha
Si kilamtu anataka good life
We mwenyewe utajipa good time

Mtoto kiboko
Sema kile unaona kwa ndoto
Nami nitatimiza, nitatimiza yote
Dunia ni ndogo
Sema kama tusafiri Lesotho
Ama Argentina America

YouTube video