Skip to content

ANISET BUTATI – Amenibadilisha Lyrics

Amenibadilisha Lyrics by ANISET BUTATI

Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha

Nikitazama nyuma nilikotoka
Ni mema kuwa hivi nilivyo
Kanitoa chini huyu Mungu
Kaniweka juu ya maisha

Acha niimbe, nifurahi
Nilisifu jina lake
Acha niimbe, nifurahi
Nilisifu jina lake

Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha

Haikuwa rahisi kuwa nilivyo
Kweli ni neema ya Mungu
Walioniona ni mashabiki
Kweli Mungu kafanya kazi kubwa

Dhoruba ilikuwa kubwa, hatari tupu
Kweli ni neema ya Mungu
Ni neema ya Mungu
Ni neema tu ya Mungu

Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha

Kama si Mungu kuwa nasi
Adui zetu wangetuzika hai
Kama si Mungu kuwa nasi
Watesi wetu wangetuzika hai

Kweli ni Mungu, kweli ni Mungu
Kweli ni Mungu ametusaidia
Kweli ni Mungu, kweli ni Mungu
Kweli ni Mungu ametusaidia

Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha

Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha
Amenibadilisha, amenibadilisha