Skip to content

SOUNDS OF WORSHIP – AHADI Lyrics

AHADI Lyrics By SOUNDS OF WORSHIP

Akisema, atatenda,
(What He says, He will do)
Ni jambo gani hilo alokuahidi we,
(What is that thing that He promised you?)
Si mwanadamu, adanganye,
(He is not man that He should lie)
Yesu, jina lake.
(Jesus, is His name.)

Chorus.
Ahadi zake, huyu Yesu
(All of His promises, this Jesus)
Zitatimia, Huyu Yesu,
(Must come to pass, this Jesus}
Si mwanadamu, adanganye,
(He is not man, that He should lie)
Yesu jina lake.
(Jesus is His name.)

Akiahidi, ni mwaminifu
(When He promises, He is faithful)
Kwa kweli njia zake, si kama zetu,
(Truly His ways are not like ours)
Ni mwaminifu, ni mwaminifu,
(He is faithful, He is faithful)
Yesu, Jina lake
(Jesus is His name.)

Chorus.
Ahadi zake, huyu Yesu
(All of His promises, this Jesus)
Zitatimia, Huyu Yesu,
(Must come to pass, this Jesus}
Si mwanadamu, adanganye,
(He is not man, that He should lie)
Yesu jina lake.
(Jesus is His name.)