Skip to content

SOUNDS OF WORSHIP – WEWE NI MKUU Lyrics

WEWE NI MKUU Lyrics By SOUNDS OF WORSHIP

Umevikwa Utukufu,
(You are clothed with glory)
Na heshima ni zako
(Honor and majesty are Yours)
Enzi yako, na mamlaka, zinadumu milele
(Your kingdom and authority last forever)
Nitakiri, kwa kinywa changu,
(With my mouth, I will confess)
Kwamba wewe ni Mungu mkuu,
(That you are a great God)
Viumbe vyote, Vikushukuru,
(All creation give you thanks)
Vikisema wewe ni Mkuu.
(Saying You are great)

CHORUS
Hakika, wewe ni Mungu,
(Indeed you are God)
Umetenda, maajabu
(You’ve done great and mighty things)
Umejaa, hekima na rehema
(You are filled with wisdom and mercy)
Hakika wewe ni mkuu.
(Indeed you -God- are great)

VERSE TWO
Khalvari, kasulubiwa, ili mimi niishi
(You were crucified at Calvary, so I could live)
Dhambi zangu, kazisafisha,
(You washed all my sins away)
Sasa mimi ni huru,
(Now I am free)
Kwako wewe, nitasimama,
(In you Lord I will stand)
Mwamba imara asiyeshindwa
(THE undefeatable firm foundation)
Mwili wangu, na nafsi yangu,
(My body, soul )
Maisha yangu, natoa kwako
(All my life, I give to You)