Skip to content

Ibraah – Hayakuhusu Lyrics

Hayakuhusu Lyrics – Ibraah

Kutaka kulea wakati
Unalelewa, lazima uvunjie
Watu wazima heshima
Punguza
Mozea, unacare, wakati
Umemtelekeza fahyma

Achana na walio
Kutangulia, wakati kesho
Yako hujui utakako
Angukia, unaweza wasafi
Ukatimuliwa, na kondegang
Ukaja kusainiwa
Unashindana na
Mwanajeshi, ambayo vita
Aliianza babako na hamuwezi

Msalimie
Kiparandezi, mwambie hata
Akikesha kwa
Songoma, katu hatuwezi
Nyimbo kaimbiwa
Kajala, karaoke na
Kupitapita acha apapara
aaaaah wee
Nasikia unachimba
Mikwara, hauna chochote
Mapenzi ya konde na kajala yanakuhusu
nini kaka wee

YouTube video