BAHATI – FIKRA ZA BAHATI Lyrics

FIKRA ZA BAHATI Lyrics – BAHATI

Mamako akinipenda niite baba wa kambo
Wasani kwa uwanja na deal nao kirambo
Uliza sauti sol wao ndio kufungua lebo
wakati wanasign mi nishadismiss kitambo
Mziki sio kiki makali kama panga
Mwisho wa maneno Rington nakuvisha kanga
Pole Octopizzo walikusukumanga
Mzungu ulipata ukashindwa kujipanga
Sina urafiki wa mtoto peremende
Leo mtajua siri ya kifo cha mende
Mr. Omollo kwa gym ni matembe
Daddy Owen ulitu

Kwenye Beat umeokoka unahubiri
Na ulifanya mimba iwe siri
Mbona yangu ilikuwa hivyo nikaitoa kafiri
Na bado mnauliza na mbona siko kwa injili
Siongopi mkisema nishasikia tayari
Maneno hainiwezi yananifanya ngangari
Natema wala kwa kila hari nashwari
Bunda uko salama ndio wa hatari
Mi ni stima naogopwa kama kifo
Wakisikia Bahati akili zinaingia default
Mi navibe mi ndio Bob Marley
Mbao ya Ronaldo wakojoe walale
Mi ndio bump mtaslow down
Mi sio wa kukam mi ni born town

YouTube video