Home / Stevo simple Boy / Stevo simple Boy Lyrics Wedding Day

Stevo simple Boy Lyrics Wedding Day

Wedding Day Lyrics – Stevo simple Boy

It’s a wedding day
Wedding day
It’s a wedding day
Wedding day

(wyse tz)

Hayawi Hayawi Leo yamekuwa
Siku nzuri imekuja aah
Sherehe yetu ndo tunaifungua
Na mlomngoja kaja
Na dua njema kabariki mwenyezi mmmh
Imefika harusi
Walokukataa wamepata mastresi mmmh
Na pole kwa ao ma ex
Alafu bonge la mtoto
Watu wamependeza ndani si kitoto
Meza imependeza na mapochocho
Leo hatoki mtuu
Cheki kulia kushoto anameremeta stevo simple
Mambo fire mambo moto moto
Leo hatoki mtuu

(Chorus)

It’s a wedding day aaaaaaah
Wedding day aaaaaah
It’s a wedding day aaaah
Wedding day Aaaah

(pre verse)

Nani atakuja kufungua shampeni
Kwanza apite mbele
Machozi yanamtoka bi harusi aamini
Pigeni vigelegele

(stevo simple boy)

Watu walinisema nka jiskia vibaya
Wapo walosema ati sura yangu mbaya
Ila mpenzi wangu hakujali yote haya
Bado kanipenda na Leo Tunafunga ndoa
Umenipa heshima nafeel fiti moyoni
Niko welo welo kwa kweli siamini
Tamaa walinikatisha kwamba sito pendwa mimi
Mtoto milky maziwa yote nayanyonya mimi
Najivunia wewe Leo nipo kidedea
Wale wa knock knock wote wameshapotea
Tabembea, babe unaniwezea na hakuna mjinga yeyote ambaye atanimegea

(Wyse tz)

Ndoa ishakua ishakua ishakua
Turushe maua maua maua
Kwa kujishawa shawa shawa oooh
Na wakunengua nengua nengua
DJ anua anau anaua
Tunasasambua sambua sambua
Leoo ni shereheeee

(Chorus)

It’s a wedding day
Wedding day
It’s a wedding day
Wedding day