Barnaba – Cheketua Lyrics

Cheketua Lyrics – Barnaba

This is Barnaba Boy Classic
Yo king, I got the message
“I love her aha”

Oh what? Aaaah yeah eeh mmh
Ouwoooo uwoo aah…
Yoo mmmh aah….aiyaiya
Mmh mmh eh eh, eh eh mmh aah

Nikupe habari
Tangu nirudi safari
Nikakupata kimwali
Tumeshinda dhohari

Nitazungumza naye
Bibi na babu wataridhia
Siku ya ndoa shela wigi
Mie kanzu na jambia

Tumeshinda vizingiti
Wambea hatutishi
Maneno yenu uchafu
Yeye sabuni mie jiki

Mtasubiri mazishi
Sisi bado tunaishi
Utamu wa wali ***
Kule na parachichi

Ayii mwali wangu (Cheketua)
Wee ndio tunu yangu (Cheketua)
Mbeba siri zangu (Cheketua)
Mwenye tamu yangu (Cheketua)

Ayii mama uyoo (Cheketua)
Tumetoka far a way (Cheketua)
Waacha waongee (Cheketua)
Maneno yao usijali (Cheketua)

“Peke peke peke peke…
I dedicate this to you babe
My heart is for yoy babe, the boss
Love is good baby”

(Eiyee iye, oh iye eh, iyo oh eh eh)

Nikupe ee nikupee midola
Arusha na Manyara ama nikupe dawa
Nikupe farahi, nikupe dinari
Nikupe mahari, samaki waishi mbali
Roho ziliowapinga waambie ugonile
Na girl kiasi wangu woii wooii wooii

Tumeruka vizingiti wambea hamtutishi
Utamu wa wali ***, utafune na ndizi

Nahisi mamaa asali yangu
Aje mama mkwe (Cheketua)
Akupe na zawadi

Ayii mwali wangu (Cheketua)
Wee ndio tunu yangu (Cheketua)
Mbeba siri zangu (Cheketua)
Mwenye tamu yangu (Cheketua)

Ayii mama uyoo (Cheketua)
Tumetoka far a way (Cheketua)
Waacha waongee (Cheketua)
Maneno yao usijali (Cheketua)

Peke peke, peke peke peke
Ayii mama, aii mama
Ayii waachi waongee (peke peke)
Peke peke peke peke

Ayii mama, tumetoka far a way (Tumetoka far a way)
Barnaba

Tausi ndege wangu (Cheketua)
Ndege wangu wa dhamani (Cheketua)
Ndege uloshika mali (Cheketua)
Na vitu vyangu vya dhamani (Mmh Cheketua)

Mie Adam ye ndio Hawa (Cheketua)
Nicheke tu mama (Cheketua)
Cheke cheke cheketua
Mmmh mmh (Cheketua)

(Love is good baby)

YouTube video