DEZIAN - Kapeng Lyrics

DEZIAN Kapeng cover art

Kapeng Lyrics by DEZIAN
(Feat. Scar Mkadinali, Nigga Shawn)

Yo for real man you already know
Man forreal
Ngwai na kapeng, ngwai’na ka
Kila kitu, kila kitu, kila
Gapoicapo

Ngwai na kapeng, ngwai na kapeng
Kila kitu shwari bora ngwai na kapeng
Nataka ngwai na maweng, ngwai na maweng
Kila kitu shwari bora ngwai na maweng

Bugda ni ya mahomie, bugda ndani ya pongi
Si ma gen zombie they don’t really, they don’t really know me
Bugda ni ya mahomie, bugda ndani ya pong]
Si ma gen zombie they don’t really know me

Dez alinipatia gbag nkiingia
I hope utanipatia ka peng pia
Wa maweng, ma-white na mapeng
Ma-right na ma-leet, with your wife na your next]
Uka kuka bila wife, ni ka kuka bila stress
Na mchipo na msose na nmwagia mayones, uh! Nkt!
Ni kuwakumbusha tu!, ni kuwakumbusha tu!
Kama jana kwa ile choche, ni kuwarushanu tu

Pigwa kidevu kwa hiyo taxin fala anarusha tools
Eeh ni kwakumbusha tu!, eeh ni kwakumbusha tu!
Eh usithani eti tunasuana, eti ju unatuona daila
Nimekuja na vicky s0/Leo ni kutupa wera

Nimepandisha madem kwa ndai yangu ka kamagera
Nkisham ndio ukam and get her
Nimepandisha madem kwa ndat yangu ka kamagera
Nkisham

Gini ker wakuje mahali tuko
Ngwai kiko, white ziko
Somebody call a praka little pretty zaza
Bash ni ya magwaash naimagaza
Say less

Mpige ngafi (cheza nayo), mpige ngafi (cheza nayo)
Mpige ngafi (cheza nayo), ka ni ex mpige ngafi (cheza nayo)
Mpige ngafi (cheza nayo), mpige ngafi (cheza nayd)
Mpige ngafi ka ni hater mpige ngafi

Ngwai na kapeng, ngwai na kapeng
Kila kitu shwari bora ngwai na kapeng
Nataka ngwai na maweng, ngwai na maweng
Kila kitu shwari bora ngwai na maweng

Bugda ni ya mahomie, bugda ndani ya pongi
Si ma gen zombie they don’t really, they don’t really know me
Bugda ni ya mahomie, bugda ndani ya pong]
Si ma gen zombie they don’t really know me

Nimekam na mamugra za mahomie
Bato mafegi hizo vitu huwa sichomi
Leo tunazichapa zitubugde ndani na pongi
Nacheza game bubu mimi njiwa sijibongi
Yoh ni nigga shawn kwenye song
Tuko na scar de labda watoe mathong
Kwa show doba zangu zote wanasing along
After kuperfom lazima watoe form
Ati cheki we si unajua vile kuenda
Naichapa naisare siku hizi hakuna kupenda
Labda nipate mwenye bukla hajaienda
Mtoto wa kikosi moja wa kimijikenda
All ngoma ni kali kama liquor
Tuko ma steam mambo mingi itafanyika
Bibi ya mtu ako kwangu/anapika
Anaimeza yote adi mpaka anatapika (capd capd)

Ngwai na kapeng, ngwai na kapeng
Kila kitu shwari bora ngwai na kapeng
Nataka ngwai na maweng, ngwai na maweng
Kila kitu shwari bora ngwai na maweng

Bugda ni ya mahomie, bugda ndani ya pongi
Si ma gen zombie they don’t really, they don’t really know me
Bugda ni ya mahomie, bugda ndani ya pong]
Si ma gen zombie they don’t really know me