My G Lyrics by Ebola Mkuu
(Feat. Kapitani)
Sikuforce unipende
Utaniskiza ukipenda
But vile kunaenda
Itabaki umeni hehe
Hii thing iko kwa damu, me ni blood type C
Usinitrust sikutrust My G, na kalamu najitrust My G
Unaniweza wacha shh, itisha fight kwa hii ring
Kwa damu, me ni blood type C

Naconfuse rong na hii rende
After kuichapa wacha iende
Kifo ya iyanii na hii hapa gani mende
Inarecord kweli imeanza basi twende
Ka ni mwende siendi we muendee
Hii itaenda viral ka senje
Wamechoka wanitaki hadi stenje
Boy wa mjini Embakasi doctor mwenje
Heshima umenipee bro ongezea mzazi
Nongea na unaongea kati kati
Mbati ndula ya wangati
Napigiria-utalala na meno
Hii thing iko kwa damu, me ni blood type C
Usinitrust sikutrust My G, na kalamu najitrust My G
Unaniweza wacha shh, itisha fight kwa hii ring
Kwa damu, me ni blood type C
Usinitrust sikutrust My G, na kalamu najitrust My G
Unaniweza wacha shh, itisha fight kwa hii ring
Yoh hii ni ya maboy tunapenda mandom
Tushikisha na hatukata mchoke
Advice kutupea ni usoo
Hawatueliewi na hawayuko supposed
Niko fresh ni kaa ndo nimedunda marikiti
Kutu ni ya siku mingi wacha nitumie kichwa ya pili
Unafikiria nitakubaia maua mimi
Unajifanya vajo wa nini?
Huku mtaitana, hatukai sana
Anataka banana, mimi nani niseme apana
Namdai hadi mablander, kunipimia tu ni blunder
We unafikiria hii pesa tunaokotanga