Harmonize – Best Friend Lyrics

Best Friend Lyrics – Harmonize Ft. Alice Kella

Mi nawe ni kufa na kuzikana
Mara twacheka tunanuniana
Nakira tunapo kwazana tuna patana
Me and you my best friend
Liwe la usiku ama liwe la mchana
Liwe kwenye nafasi ama palipo bana
Mpaka tuka shidwa kuonana tuta pigiana
Me and you my best friend
Baby wangu atanipa mandingo
Kilanacho taka nitapata
Ilasiku nikiwa single wewe ndio wakwanza
Kukufata na isitoshe unanijua vema
Ooh rafika mwema
My best friend
My best friend

[x2]
My best friend
My best friend
My best friend
My best friend

Chakwetu sote kikubwa kidogo na
Huja wahi nilamba kisogo nikisemwa kwa
Ubaya una geuka mbogo unanzisha zogo
My best friend
Wakitaka wata cheka wata nuna
Si tukiwateta kwetu suna
Na tulivyo shibana sie mfano hakuna
Kwangu ubaya hakuna
My best fiend
Baby wangu atanipa mandingo
Kalanacho taka nitapata
Ilasiku nikiwa single wewe ndio wakwanza
Kukufata na isitoshe unanijua vema
Ooh rafika mwema
My best friend
My best friend

[x2]
My best friend
My best friend
My best friend
My best friend

YouTube video