KingsMainaMSsteve - Wachana Naye Lyrics

KingsMainaMSsteve Wachana Naye cover art

Wachana Naye Lyrics by KingsMainaMSsteve

Taratibu wazee kwa vijana wamama kwa wasichana karibieni sauti inawalilia kwa huzuni ming samahani wapenzi tega maskio mniskilize mazuri spa kwa wingi maovu yote tunaodoa ukurasani chunga tamaa ya nje itakuagamiza na usahaulike chizika na wako wa nyumbani mwenye mapenzi kiupedo ya kifahali isiyo ya leo, leo leo tu, milele milele eeh nasema tena milele milele eeh

Kaa ujui eti ukimuona kavalia miniskirt nusu uchi uwe kijana ama mzee wachana naye anasifa za kuacha mapaja na migogo wazi mwenye kumelemeta kaa maridadi car usiku anakaa mwangaza ila akipita usimkonyeze jicho usije ukajisau

Huyo ni mtapeli wa mali yako mwenye mapambo kupedeza sauti gunzo tu kuvutia kukuharibia ujana tuu

Something amevalia kongi kongi utaskia kongi kongi akipita kwa maringo huyo ni kama funza anasaka pakutubukia kwa muda ooh hao maabunuasi wako hapo ulipo walahoi na walalahai wote wakitubukia ndani kwa ndani na kusahau na familia zao manyumbani kuwa mjaja usifanyuwe mtumwa wakate waodoe kwa line up ya maisha yako usipagwe na nderemo na shaguwe siku zote jijue wewe mwenye uwapedao uwatunze dio watakao kuzika watasimama nawe wakati wowote kama ujui jua leo hakuna aliye kama wewe ulimwegu mzima sio siri tena ni wazi hatharani Hawa watu wako mumejionea wenyewe jihathali ishi na watu vizuri eeh

Huyo ni mtapeli wa mali yako mwenye mapambo kupedeza sauti gunzo tu kuvutia kukuharibia ujana tuu eeh

Lyrics added by KingsMainaMSsteve Music

Keep listening

More Songs by KingsMainaMSsteve