Marioo – KARMA Lyrics

KARMA Lyrics By Marioo

Kama kupata njadingo kifosi
Kweli itakuponya
Sawa nitafanya kwa siri
Najua Mungu anakuona

Mabaya nilitenda nikajipa na muda
Kufa na kupona
Saivi nipo kivulini
Ila nahisi jua linanichoma

Baya ukifanya nakalia
Baya litarudi na utalia
Ubaya unafuataga baya
Watenda matendo mabaya kwa dunia

Mbaya siku yake ikifikia
Atatangatanga na dunia
Baya ukirudi ni mbaya
Unarudi vibaya malipo yake ni mateso

Na hiyo, karma
Oh karma, karma
Oh yeah yeah (Karma)
Mateso ya mapenzi siwezi sio sawa
Manyanyaso, huchoma daya karma
Oh karma, siwezi

Nimeamini sikio la kufa
Halisikiagi dawa
Kama ilivyo mwenda pole hajikwai ii
Ndo utaniamini usiziba nyufa utajenga ukuta
Mwisho wa siku lawama, lawama

Baya ukifanya nakalia
Baya litarudi na utalia
Ubaya unafuataga baya
Watenda matendo mabaya kwa dunia

Mbaya siku yake ikifikia
Atatangatanga na dunia
Baya ukirudi ni mbaya
Unarudi vibaya malipo yake ni mateso

Na hiyo, karma
Oh karma, karma
Oh yeah yeah (Karma)
Mateso ya mapenzi siwezi sio sawa
Manyanyaso, huchoma daya karma
Oh karma, siwezi