Sifa Lyrics – Rostam
Eeeeheeeya
wamemchokoza bear huu ahahah
Yes..Umepewa nywele sasa weaving wigi la nini
Nitashindwa mimio hii ligi ya umasikini
Nyoa hata para upunguze hela ya mafuta
Au panki ka chotara kinyakyusa mamushka
Na hayo macho ulipewa unione mimi tu kitu
Ambacho am so proud of you amini kwamba
Sitoruhusu yamwage machozi kama namba we
Ni tisa mimi ni sita yes of course na pre ensure
Kama msomali hiyo pua ingejengwa na tofali
Ingeendeleea kuyafyatua mungu
Ni fundi na nusu kakupa mashavu soft ya kupiga
Mabusu sio kupiga makofi na ilo sikio ulilo
Pewa usilitoboe toboe dj mwisho utoboe hadi
Ngoma mumeo usinisikie na hayo meno yasiningate
Mdomo ninyonye nidate ulimi nimlambe haste
Haste na moyo wako unifwate
Nifanye kama niko peke yangu dunia nzima
Usinifanye kama yele x boy friend
Uko mkonno salama kwenda kwa wazazi lazima
Nakuletea mpaka yote yanyooke sifa zote unazo
Kichwani mpaka unyayo umepewa utajiri wa
Urembo wa siri dunia
(Tumia) x8
