Kanyagaa Lyrics – Willy Paul
Mda una yoyoma
ngozi inabadilika
nami nishampata wangu wa maisha…
oooh mda una yoyomaaa uuuh aaah.
Mpenzi ya watu yasifanye tuachane,
my darling usiniache…
Wakibonga shut up and call my number
nambie unanipenda wasikie tunavopenda milele daima aaah…
Sijui kama unapenda goodbye mi sipendi,
Oh my lady
sijui kama unapenda goodbye mi sipendi.
Mimi sipendi ata kukumiss
Napenda tu kukukiss
Nitakuwa nawe ata wakidiss
Coz you’re my princess.
It’s only you that I think of,
you that I dream of
no other person
Baby we kanyangaa kamati ya roho chafu we kanyagaa, fitima mikosi we kanyagaa kanyagaa mama…
Wanaongoja tuachane we kanyagaa
Wanao omba mabaya we kanyagaa
Wanao kesha kwa waganga we kanyagaa
Kanyagaa mama…
Pacha wangu baby baby doli twende kwenye majiji boti, twende tukaogele waone mama mgongo unikumbate wacha waone mama nipige busu kwa fitina wacha waone mama.
Inawachoma baby choma sana inawachoma sheri mapenzi…
It’s only you that I think of, you that I dream of no other person.
Baby we kanyangaa kamati ya roho chafu we kanyagaa, fitima mikosi we kanyagaa kanyagaa mama…
Wanaongoja tuachane we kanyagaa
Wanao omba mabaya we kanyagaa
Wanao kesha kwa waganga we kanyagaa
Kanyagaa mama…
Outro…
You and I will live forever, you and I will live forever aaaah ×2
tutaishi wawili forever na wenye wivu wameze wembe ×2
