In "Mayolo," Bien and Femi One trade flirtatious challenges, each demanding the other prove their intentions before surrendering to mutual desire. The repeated call to show what they want, paired with the playful "Mayolo" chant, turns hesitation into a dare. Physical attraction is ripe and acknowledged, but trust remains the gatekeeper; Femi warns that town games are familiar and asks for honesty, while Bien answers with worship and curiosity. The song lands as a confident, teasing negotiation where lust and self-respect must shake hands before anything else happens.
Mayolo Lyrics by Bien
(Feat. Femi One, Papaa Maasai)
Bald man ananilke na mi namlike
Tunalikiana anasema Femi Ndio size
Umenimalo Umejuaje napenda height
Kaa haumind kuona show si unroll na Mimi tonight
Ey ey ey na Femi huaga umeninice
We ni G nyuma unawagon na kiuno tight
Nishakutii daily mi hukua nakufantasize
Tunda ni ripe, you know that you can get it right
Unaeza get it yes, lakini nishow intention
Mi ni dem wa mtaa mambo ya town Najua mchezo
Naona vile umekuwa ukitamani kitu special
Narudia Tena Bien, tell me your intentions
Femi I wanna worship at your temple
Run my fingers on your body fuck your mental
Maneno Haya si mageni hapa jijini labda kwa mgeni jijini unajua ni nini
Uno uno unaitaka, na nadai kuichapa
Vice versa pia mi naitaka
Uno uno unaitaka, na nadai kuichapa
Vice versa pia mi naitaka
Keme la kenyoraa
Keme la kenyoraa
Keme la kenyoraa
Keme la kenyoraa
Mayolo Mayolo Mayolo nanoo
Mayolo Mayolo Mayolo nanoo
I’m curious, Kwani okwonko aliichapa
I wanna know ka unaeza meza njwang’a
Hiyo ni swali gani? Kumbe unaeza geuka fala?
Haikuhusu ka mi na ye tulilimana
Basi ka mko pamoja staki drama
Sfanyangi watu mbaya, I believe in Karma
We jitetee uchape usiogope lawama
Unaeza Bahatika tuonane Ana kwa Ana
Uuh maneno Haya si mageni hapa jijini labda kwa mgeni jijini unajua ni nini
Kuna kugonga kugongewa kugongeana
Kuna kupata kupotea kupoteana
Uno uno unaitaka, na nadai kuichapa
Vice versa pia mi naitaka
Uno uno unaitaka, na nadai kuichapa
Vice versa pia mi naitaka
Keme la kenyoraa
Keme la kenyoraa
Keme la kenyoraa
Keme la kenyoraa
Mayolo Mayolo Mayolo nanoo
Mayolo Mayolo Mayolo nanoo

