Happy birthday Lyrics – Leteipa the King
#VERSE
Imagine tayari nilikuwa nishasahau
Kwamba leo ni siku ya kusherehekea
Nivenye nimewa busy nikihustle dooh
Na picha yako sitaiweka kwa mitandao
Na usidhani kwamba sikuwa nacare
Nivenye safcom nina deni ya soo
#HOOK
ningelikuwa na pesa
ningekubuyia kagari
Nikupe wee my dear
Nikupeleke uingereza
Ukaone umaridadii
Wa dunia
Imagine nimeshindwa,
kuafford hata kagari, kakukuwishia
Happy birthday jibambee
#CHORUS
Happy birthday
eeeeeeh.uoooooh x2
#VERSE
Nakuombea uishi zaidi
ya miaka elfu moja
Ndo ujionee wajukuu wako
pamoja ma vitukuuu
Uwaeleze tulivyosaidiana,
kama masoldier
Na kutoana machozi
kama tumela vitunguuu
#HOOK
ningelikuwa na pesa
ningekubuyia kagari
Nikupe wee my dear
Nikupeleke uingereza
Ukaone umaridadii
Wa dunia
Imagine nimeshindwa,
kuafford hata kagari, kakukuwishia
Happy birthday jibambee
#CHORUS
Happy birthday
eeeeeeh.uoooooh
Happy birthday,
eeeeeh, uoooooooooh