Leteipa the King – Kizero Lyrics

Kizero Lyrics – Leteipa the King

Tufununu tumespread kwa Mitaa,
Kwamba Leteipa siku hizi
anaitwa VampK
Sijui Ni kun’gu ama Ni Kichaa
Soo yule tulimjua kipindi
akiwa class eight
Na Kama rungu
anatembea Na guitar,
Ameacha Kuimba Choir
sikuhizi anaimba mapenzi,
Na kitu moja chenye Nina ihakika,
Akimaliza Mwaka mmoja
mniite mshenzi
Maulana tenda Jambo,
Wanangoja nifail
waniuse Kama example,
Ona tulikaonya kitamboo,
Kamekataa
sa kameshikwa na mascundles,
Na kama bado mi Ni wako,
tafadhali nifungulie milango,
Wanipende Kama kitambo,
Ngoma zangu ziskike Kenya
mpaka N’gambo

They said I messed up her sister,
Nikamfanya ahepe home,
I acted like a evil teacher,
Nikafunza brother yake
kuchoma ndom,
Wasn’t it for me and my evil pictures,
Moto wa jirani angepeform,
Kuku zenu tafadhali Ficha,
Atazigeuza zikuwe form

(Am still me)
Sunday tukienda Sunday School
saa Tisa kuwahi wrestling
(Am still me)
Raima tukila mcheleku,
Gari za wire mpaka battery
(Am still me)
mnaniita msanii, Kioo Cha jamii
(Am still me)
mkimaanisha msanii, Kizero Cha jamii

Kanajifanya sharobaro
Kila time Ni ming’aro
Kusumbua akina Caro,
Kubrag mitani na miado za maparo,
Wazazi waliwaste Karo
Kusomesha huyo mtaro
Hapo walitupa mbao
heri wangebuy maziwa
wakapike chai kwao..
Ni wangap tumewaona wasanii
Wameishia kwa mihadarati..
Kanadhani kashakuwa katalii
Kashaanza kuvuta bangi

They said I messed up her sister,
Nikamfanya ahepe home,
I acted like a evil teacher,
Nikafunza brother yake kuchoma ndom,
Wasn’t it for me and my evil pictures,
Moto wa jirani angepeform,
Kuku zenu tafadhali Ficha,
Atazigeuza zikuwe form

(Am still me)
Sunday tukienda Sunday School
saa Tisa kuwahi wrestling
(Am still me)
Raima tukila mcheleku,
Gari za wire mpaka battery
(Am still me)
mnaniita msanii,
Kioo Cha jamii
(Am still me)
mkimaanisha msanii,
Kizero Cha Jamii