Leteipa the King – Nipende mimi Lyrics

Nipende mimi Lyrics – Leteipa the King

Umeketi,
kwa corner, Ukifikiria,
Vile maisha,
ya mapenzi, yamekukalia,
Any shoe that,
you admire,
inawa ndogo kwako dear,
Mpaka sasa,
umeamua, peku kutembea,
Umesahau kiatu chako Kipo,
Kimetengezwa tu kwa ajili yako

Ukiwa kwenye shiida,
Unajililia,
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie,
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie,
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie

Labda ulipenda, hao wengine
wakakuonyesha kilio,
Yule mwingine
wa mwisho akakuuma sikio,
They used you
na sasa wanakuita kifagio,
But nipende mimi…
Nipende mimi

You think that,
you are lonely,
Coz no one is close to you,
And even those that,
are closer,
they never bother to fight for you,
Umeapa
kamwe, hutawahi penda,
Juu wanaume wote,
ni mafisi,
mwishoni watakutenda,
Give me a chance
to prove
your statement is wrong,
Naapa kwa wote
wanaoskiza this song

Labda ulipenda hao wengine
wakakuonyesha kilio,
kilio kiliiiiioo

Ukiwa kwenye shiida,
Unajililia,
Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie,
Ntaketi kando yako, Mpaka utulie,
Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie,